Hawa Ndiyo Viongozi Wapya wa Stand United...Dkt. Ellyson Maeja Ang'aa Uenyekiti
Mwenyekiti mpya wa Stand United Dkt. Ellyson Maeja akizungumza baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi ya uenyekiti wa klabu hiyo
Hawa ndiyo Viongozi wa Klabu ya Stand United (CHAMA LA WANA) ya mjini Shinyanga waliochaguliwa leo katika uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga.
Mwenyekiti- Dkt. Ellyson Maeja
Makamu Mwenyekiti-Richard Luhende
Wajumbe wa Kamati ya Utendaji:
1. Francisco Magoti
2. Geofrey Tibakyenda
3. Jackline Burahi
4. Twahil Njoki
5. Mariam Richard