RC SHINYANGA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA YA KAHAMA, SHINYANGA, NA KISHAPU

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Tareck akimwapisha mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro kuwatumikia wananchi wa Shinyanga na kutatua changamoto zinazowakabili pamoja na kuwaletea maendeleo.

Mkuu wa wilaya ya Kishapu Nyambonga Taraba akila kiapo mbele ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Tareck

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Tareck akimkabidhi vitendea kazi mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkulu mara baada ya kumaliza kumwapisha

Wakuu wa wilaya watatu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kula kiapo,wakwanza kushoto ni mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akifuatiwa na mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkulu na watatu ni mkuu wa wilaya ya Kishapu Nyambonga Taraba


Viongozi wa ngazi ya halmashauri na wilaya wakiwa ukumbini

Wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa na wilaya wakiwa ukumbini

Katibu tawala wa mkoa wa Shinyanga Albert Myovela akizungumza ukumbini

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Erasto Kwilasa na meya wa manispaa ya Shinyanga Gulam Hafeez Mukadam wakiwa meza kuu

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck akizungumza baada ya kuwaapisha wakuu wa wilaya

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck aliwasisitiza wakuu hao wa wilaya kufanya kazi kwa kujituma

Tunafuatilia kinachoendelea ukumbini

Tunafuatilia kinachoendelea

Wakazi wa Shinyanga wakiwa ukumbini

Viongozi wa madhehebu ya dini wakiwa ukumbini

Wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wakiwa ukumbini


Tunafuatilia kinachoendelea







Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkulu akizungumza baada ya kuapishwa


Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akizungumza baada ya kuapishwa

Matiro akizungumza

Tunafuatilia kinachoendelea

Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkulu na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro wakiwa ukumbini


Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck akiteta jambo na aliyekuwa kaimu mkuu wa mkoa wa Shinyanga John Mongela ambaye ni mkuu wa mkoa wa Mwanza



Mkuu wa wilaya ya Kishapu Nyambonga Daudi Taraba akizungumza baada ya kuapishwa



Aliyekuwa kaimu mkuu wa mkoa wa Shinyanga John Mongela akizungumza wakati wa kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck

Aliyekuwa kaimu mkuu wa mkoa wa Shinyanga John Mongela akizungumza wakati wa kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck





Aliyekuwa kaimu mkuu wa mkoa wa Shinyanga John Mongela akikabidhi nyaraka za ofisi kwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck

Afisa Uhamiaji mkoa wa Shinyanga Annamaria Yondani akifurahia jambo ukumbini


Wakuu wa wilaya wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu

Mkuu wa wilaya ya Kahama akiwa katika picha ya pamoja na meza kuu

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga akiwa katika picha ya pamoja na meza kuu

Mkuu wa wilaya ya Kishapu akiwa katika picha ya pamoja na meza kuu.

Picha zote na Marco Maduhu -Msukuma Blog

Powered by Blogger.