Mchana wa leo Mikoa ya Kanda imekumbwa na tetemeko la ardhi ambapo nyumba kadhaa zimebomoka na inadaiwa kuna vifo kadhaa