MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA KONGWA AMEDAIWA KUFARIKI DUNIA MARA BAADA YA GARI LAKE KUANGUKIWA NA LORI LA MAFUTA



Mkurugenzi wa halamashuri ya  Kongwa, Izengo Ngusa, amedaiwa kufariki asubuhi ya leo Aprili 15 kwenye ajali ya gari,

Taarifa zilizotufikia zinasema gari dogo alilopanda Mkurugenzi huyo, lenye namba za usajili T619 DMA aina ya Toyota Crown Athlete, liliangukiwa na lori lililobeba mafuta,

Ajali hiyo imetokea eneo la Mbande Makaravati mkoani Dodoma.
Powered by Blogger.