TRA IMEKUSANYA TRILIONI 11.78

Mamlaka ya Mapato (TRA) imetangaza kukusanya TRILIONI 11.78 katika kipindi cha miezi tisa kuanzia July 2017 ikisema ni sawa na ukuaji wa 8.46% ikilinganishwa na Shilingi Trilioni 10.86 kwa mwaka 2016/2017.‬ ‪Kwa March 2018 pekee TRA imekusanya Trilioni 1.54.


Hayo yameelezwa na Richard Kayombo, Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipa Kodi wakati akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake.
Powered by Blogger.