BLOG IMESITISHA HUDUMA SOMA ZAIDI MAGAZETI YA NIPASHE


Habarini za asubuhi wadau wa Shinyanga News Blog, tunapenda kuwataarifu kuwa hatutaweza tena kurusha habari mbalimbali zikiwamo za Shinyanga kwenye blog hii kutokana na Serikali kuzuia Utoaji wa habari kupitia mitandao ya kijamii hadi upate usajili, hivyo tuna waomba muendelee kusoma Magazeti ya NIPASHE zaidi ili kupata habari za ukweli na uhakika zikiwamo zangu kutoka Shinyanga.


By Marco Maduhu,

Mmiliki wa Shinyanga News Blog, na Mwandishi wa gazeti la Nipashe mkoani Shinyanga.

Powered by Blogger.