Maajabu Tanga! Angalia Picha Mti wa Muembe Unaobadilika na Kuwa na Sura ya Mwalimu Nyerere na Mama Maria Nyerere


Tukio hilo limesemekana lilianza kujitokeza June 6 2016. "Ni kama muujiza fulani sio kwamba jambo hili liliwahi kujitokeza, hapa nilipo ndio naona hali halisi ya huu mwembe, ni kama mtu alijaribu kuuchonga"-