HUU HAPA UGONJWA ULIOMUUWA KIONGOZI WA UPINZANI ZIMBABWE MORGAN TSVANGIRAI
Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai amefariki dunia.
Morgan Tsvangirai alikuwa akitibiwa Afrika Kusini
Waziri huyo mkuu wa zamani wa Zimbabwe, 65, alikuwa akisumbuliwa na saratani na alikuwa akipata matibabu katika hospitali moja nchini Afrika Kusini.
Bw Tsvangirai na chama chake cha Movement for Democratic Change alikuwa akipambana kisiasa na utawala wa rais Robert Mugabe