TANESCO YATOA SABABU ZA KUKATIKA JANA KWA UMEME TAKRIBANI NCHI NZIMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Dkt. Titus Mwinuka amesema “Kutokana na tatizo la umeme limejitokeza TANESCO tumefanya juhudi kurejesha hali ile, tulianza kurejesha Tanga, Chalinze kupitia kituo cha New Pangan, Dodoma kupitia kituo cha Mtera na sehemu ya kituo cha kidatu.